• TANZANITE MEDIA

    The voice of Africa

    Monday, May 30, 2016

    WABUNGE WA UPINZANI WAADHIBIWA VIKALI


    kamati ya haki,maadili na madaraka ya bunge imetoa adhabu kali kwa wabunge wa upinzani ambao wanadaiwa kufanya fujo mapema mchana wa leo na kumlazimu naibu spika wa bunge kuahirisha kikao cha bunge hadi
    mwenyekiti wa kamati ya haki maadili na madaraka ya bunge mh George Mkuchika
     kumi jioni.Fujo hizo ziliibuka mara baada ya spika kukataa kujadili hoja ya dharura kuhusu wanafunzi zaidi ya 7000 wa ualimu wa sayansi,hisabati na teknolojia wa UDOM kufukuzwa chuoni hapo.
         Wabunge waliopewa adhabu ni esther Bulaya na Tundu Lissu ambao wamesimamishwa kutohudhuria mikutano miwili,Zitto Kabwe na Halima Mdee hawatahudhuria vikao vya bunge hadi mwezi oktoba,Pauline Gekul,Godbless Lema wao hawatahudhuria vikao vya bajeti vilivyobaki.John Heche hatahudhuria vikao vikao kumi mfululizo kuanzia leo hii.

    No comments:

    Post a Comment